KITAIFA
-
UNAIKUMBUKA ILE KAZI YA KAPOMBE KWA MABULULU…SASA UKWELI WOTE UKO HIVI KUMBE
BEKI wa Simba, Shomari Kapombe amefunguka kuwa alipewa jukumu la kuhakikisha anafanikiwa kumzuia mshambuliaji wa Al Ahly Tripol, Cristovao Mabululu…
Read More » -
SIKU CHACHE BAADA YA KUBANWA NA KEN GOLD….GAMOND AFUNGUKA ‘ALIYEIKATILI’ YANGA
KOCHA Mkuu wa Yanga, Miguel Gamondi amemtaja kipa, Castor Muhagama amepunguza idado ya mabao ambayo walitakia kushinda katika mchezo wa…
Read More » -
Barca wamsaini kipa wa Arsenal kuziba pengo la Ter Stegen
Klabu ya Barcelona imekamilisha usajili wa aliyekuwa kipa wa klabu ya Arsenal, Juventus na timu ya taifa ya Poland Wojciech…
Read More » -
KUHUSU SIMBA,YANGA KUFUZU KIMATAIFA…FAIDA MPYA KWA TANZANIA HIZI HAPA
Na: Hashim Mbaga TUNAENDELEA KUTOA UFAFANUZI Katika Misimu Yote 8 ambayo inatumika Ranking Point toka 2018 hadi 2024-2025, Tanzania…
Read More » -
Simba Queens wamtambulisha kocha wa timu ya Taifa ya Ghana
Klabu ya Simba imemtambulisha kocha wa timu ya Taifa wanawake ya Ghana chini ya miaka 20 Yussif Basigi kuwa kocha…
Read More » -
SIMBA HAWANA HOFU NA AZAM FC
UONGOZI wa Simba umeweka wazi kuwa hawana hofu na wapinzani wao kwenye mchezo wao wa Mzizima Dabi ambao unaotarajiwa kuchezwa…
Read More » -
USISUBIRI WIKIENDI KUCHUKUA MAOKOTO SHINDA LEO
Nani alikuambia mpaka wikiendi ndio utaweza kushinda mamilioni? Jibu ni hapana kwani michezo mikali inapigwa kila siku na leo michuano…
Read More » -
GAMONDI ANAJIAMINI KINOUMA…AWACHIMBA BITI KENGOLD.
Wakati mashabiki wa Yanga wakitambia kikosi chao kushinda kwa idadi kubwa ya mabao dhidi ya Ken Gold, Kocha Mkuu wa…
Read More » -
ETOO AMEANZA MABALAA YAKE..TANZANIA IWE NA TIMU 8 KIMATAIFA
Samuel Etoo amesema Mataifa yenye Nguvu kisoka ngazi ya Vilabu kama Tanzania yanapaswa kuwa na timu 4 Kwenye michuano ya Ligi…
Read More » -
KWANINI WACHEZAJI HUVAA VEST ZA CATAPULT? KAZI YAKE NI HII
Bila shaka umewahi kuwaona wachezaji wengi wa Ulaya na hata wa hapa Tanzania kama Simba, Yanga, Azam na vilabu vingine vikubwa wakiwa…
Read More »