LATEST POSTS
LEO NI VITA YA SAMATTA NA POGBA KATIKA LIGI YA UFARANSA
Nahodha wa Timu ya Taifa ya Tanzania Mbwana Ally Samatta anatarajia kucheza mechi yake ya kwanza kwenye Ligi Kuu Ufaransa wakati klabu yake ya...
NEO GIFT MAEMA AMEICHAGUA SIMBA
"Tulipokea ofa nyingi sana za hapa Afrika kusini kutoka kwa vilabu kama Kaizer Chiefs,Orlando Pirates na vingine vingi lakini vya nje ya Afrika kusini...
MWAKINYO – “NIKO TAYARI KUCHEZA, LAKINI NINACHOTAKA KULIPWA NILIPWE”
Anayetaka kuliona pambano langu dhidi ya bondia wa ndani anifuate mimi tuzungumze na asipite kwa mtu mwingine yeyote. Niko tayari kucheza lakini lazima ninachotaka...
WALLACE KARIA MINNE TENA KULIONGOZA SOKA LA TANZANIA
Wajumbe wa mkutano mkuu TFF wamemthibitisha Wallace Karia kwa kumpigia kura za ndio kwa asilimia 100 kuwa Rais wa soka Nchini kwa miaka mingine...
TAIFA STARS KAZINI TENA KWA MKAPA CHAN 2024
VINARA wa kundi B Tanzania kesho watakuwa kazini kwenye msako wa pointi tatu dhidi ya Afrika ya Kati mchezo unaotarajiwa kuchezwa Uwanja wa Mkapa.
Stars...
AZAM FC YAMALIZA KAMBI KARATU KWA KUTEMBELEA NGORONGORO
Leo Alhamisi, kikosi cha Azam FC kikiwa Karatu, mkoani Arusha, kimehitimisha kambi yake ya wiki mbili ya maandalizi ya msimu mpya kwa mtindo wa...
WINGA SANCHO KUTIMKIA AS ROMA YA ITALIA
Winga wa Manchester United, Jadon Sancho, yuko kwenye hatua za mwisho za kujiunga na AS Roma kwa mkopo wa mwaka mmoja.Kwa mujibu wa taarifa,...
NYEMBERE ATEULIWA KUONGOZA KAMATI YA MUDA “TPBRC”
Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Profesa Palamagamba Kabudi, amemteua mtangazaji wa #AzamTV, Patrick Nyembera kuwa Mwenyekiti wa Kamisheni ya Ngumi za Kulipwa nchini...
BRIGHTON YAENDELEA KUSHIKILIA BOMBA BALEBA KWENDA MAN UTD
Brighton inahitaji Pauni 100 milioni ili kumuuza kiungo wao wa kati Carlos Baleba, 21, baada ya Manchester United kuonyesha nia ya kumsajili.
Baleba, aliyesajiliwa kutoka...
TETESI ZA SOKA ULAYA LEO IJUMAA 15-08-2025
Manchester United wanapanga mpango wa pauni milioni 50 kumnunua kiungo wa kati wa Sporting na Denmark Morten Hjulmand, 26, iwapo watamkosa mchezaji wa kimataifa...
WACHEZAJI WA CHELSEA WATOA BONASI ZAO KWA FAMILIA YA DIOGO JOTA
Wachezaji wa klabu ya Chelsea wameamua kutoa sehemu ya bonasi zao za ushindi wa Kombe la Dunia ngazi ya Klabu kwa familia za wachezaji...
CHUMA CHA SIMBA, NEO MAEMA KIMEAGWA RASMI MAMELODI
Timu ya Mamelodi Sundowns imemuaga rasmi mchezaji wao, Neo Maema aliyetumikia klabu hiyo kwa muda wa miaka 4.
Kwa sasa, Maema yupo kambini na timu...
POGBA KUREJEA UWANJANI, AANZA MATIZI NA AS MONACO
Mchezaji maarufu wa kimataifa, Paul Pogba, amefanya mazoezi yake ya kwanza rasmi na wenzake wa klabu ya AS Monaco, kufuatia kujiunga kwake na klabu...
MSHAHARA WA FEISAL SALUM UNATAJWA KUWA TISHIO
MSHAHARA wa kiungo wa Tanzania ambaye anacheza ndani ya kikosi cha Azam FC kinachotumia Uwanja wa Azam Complex kwa mechi za nyumbani unatajwa kuwa...
YANGA YATOA UFAFANUZI KUHUSU MCHANGO WA CCM WA SHILINGI MILIONI 100
Uongozi wa Yanga SC umetoa ufafanuzi kuwa mchango wa Shilingi milioni 100 uliotolewa CCM tarehe 12 Agosti 2025, ulitolewa na GSM Foundation inayosimamiwa na...
SIMBA YASHUSHA RASMI CHUMA KIPYA
Klabu ya Simba imemtambulisha rasmi mchezaji Naby Camara raia Guinea kuwa mchezaji wao kwa mkataba wa miaka miwili akitokea Al Waab ya Qatar aliyojiunga...
ODDS KUBWA NA USHINDI WA AJABU NA BET BOOST YA MERIDIANBET
Ukiwa muwekezaji mzuri wa kubashiri michezo, basi unatambua kwamba kila nafasi ya kuongeza ushindi unayoipata ni kama dhahabu. Meridianbet, kwa kulitambua hilo inawapa wateja...
TETESI ZA SOKA ULAYA LEO ALHAMISI 14-08-2025
Manchester City wanafikiria namna ya kuuteka nyara uhamisho wa Chelsea wa kumnunua winga wa RB Leipzig wa Uholanzi Xavi Simons, 22. (Sport)
Brighton watahitaji zaidi...
TUNA MATUMAINI IBENGE ATATUPELEKA HATUA YA MAKUNDI – HASHEEM IBWE
Ofisa Habari wa klabu ya Azam FC, Hasheem Ibwe, amesema moja ya uwekezaji mkubwa wa maana ilioufanya msimu huu ni kumpata, Florent Ibenge, ambaye...