LATEST POSTS
KIUNGO YANGA SC KUIBUKIA SINGIDA BLACK STARS
INAELEZWA kuwa nyota wa zamani wa Yanga SC, Clatous Chama anatajwa kuwa kwenye rada za mabosi wa Singida, Singida Black Stars inayotumia Uwanja wa...
SOKA LA LAMINE YAMAL, CHACHU YA KUWAKUTANISHA WAZAZI
Lamine Yamal pichani na Wazazi wake wote wawili ambao wametengana huku Mama yake akiwa ameolewa tayari, lakini kwasasa wanakutanishwa zaidi na Mtoto wao katika...
MAGAZETI YA MICHEZO LEO JUMATANO TAREHE 30-7-2025
Habari mwanafamilia wa SokaLeo Pitia Kurasa za Magazeti ya michezo leo Jumatano ya July 30, 2025
FEISAL KUONDOLEWA KWENYE MIPANGO YA SIMBA?
WAKATI jina la kiungo mshambuliaji wa Azam FC, Feisal Salum likitajwa kuwa miongoni mwa wale ambao wamefuatwa kwenye sanduku la usajili la Simba SC...
TETESI: ‘AHOUA’ MTAMBO WA MABAO WA SIMBA, KUONDOKA MSIMU HUU
MTAMBO wa mabao ndani ya kikosi cha Simba SC msimu wa 2024/25 kwenye Ligi Kuu Tanzania Bara inayodhaminiwa na NBC Jean Ahoua huenda akaondoka...
RASMI SIMBA KUWEKA KAMBI YAKE MISRI, MAANDALIZI YA MSIMU MPYA 2025/2026
KIKOSI cha Simba SC kinachonolewa na Kocha Mkuu, Fadlu Davids kwa maandalizi ya msimu wa 2025/26 kitaweka kambi nchini Misri.
Ikumbukwe kwamba leo Julai 29...
MDHAMINI MPYA SIMBA SC BETWAY MKATABA WAKE THAMANI NI BILIONI 20
MTENDAJI Mkuu wa Simba SC, Zubeda Sakuru amesema kuwa mkataba ambao wameingia na wadhamini wapya ambao ni BetWay unakwenda kuleta mapinduzi makubwa kwenye mchezo...
HUKO SIMBA MAMBO NI KIMYA KIMYA….HII HAPA MASHINE YA KAZI MRITHI...
NI kama vile mabosi wa Simba sasa wameamua kujibu kwa vitendo baada ya kuwepo kwa kelele nyingi mtandaoni juu ya kushindwa kufanya usajili na...
SIMBA SC YAPASWA KUJIVUNIA HUYU MWAMBA, ANACHAPA KAZI KWELI KWELI
AHMED Ally, Meneja wa Idara ya Habari na Mawasiliano Simba SC amesema kuwa Fadlu yupo likizo ila anafanya kazi kwa moyo mkubwa akiwa Tanzania.
“Katika...
MAGAZETI YA MICHEZO LEO JUMANNE TAREHE 28-7-2025
Habari mwanafamilia wa SokaLeo Pitia Kurasa za Magazeti ya michezo leo JUmanne ya July 29, 2025
MARCIO MAXIMO ATANGAZWA KOCHA MKUU MPYA WA KMC FC
Kocha wa zamani wa timu ya taifa ya Tanzania Marcio Maximo ametambulishwa kama kocha mkuu mpya wa klabu ya KMC FC akichukua mikoba ya...
MAX NZENGELI NI MALI YA WANANCHI HADI 2027
Klabu ya Yanga imetangaza kumuongezea mkataba wa miaka miwili mshambuliaji wao raia wa DR Congo Maxi Mpia Nzengeli wa kuendelea kusalia kwa Mabingwa hao...
PAMBA JIJI YASITISHA MKATABA NA KOCHA FRED MINZIRO, YAANZA KUSAKA MRITHI...
Mwanza, Julai 28, 2025 – Klabu ya Pamba Jiji FC imetangaza kufikia makubaliano ya kusitisha mkataba na kocha wao mkuu Fred Felix Minziro, baada...
UBINGWA WA CECAFA WALETA MATUMAINI KUELEKA CHAN, MWANA FA AFUNGUKA
NAIBU Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Hamis Mwinjuma maarufu kwa jina la FA amebainisha kuwa timu ya Tanzania ipo vizuri. Hayo alisema...
AS FAR RABAT YAAGANA RASMI NA HENOCK INONGA BAKA
Aliyekuwa beki tegemeo wa Simba SC, Henock Inonga Baka, ameaga rasmi klabu ya AS FAR Rabat ya Morocco baada ya kuitumikia kwa msimu mmoja...
MAGAZETI YA MICHEZO LEO JUMATATU TAREHE 28-7-2025
Habari mwanafamilia wa SokaLeo Pitia Kurasa za Magazeti ya michezo leo Jumatatu ya July 28, 2025
KIVUMBI LEO FAINALI YA WAFCON NIGERIA VS MOROCCO
Timu ya Taifa ya Wanawake ya Nigeria inatarajia kushuka dimbani usiku wa leo dhidi ya Timu ya Taifa ya Morocco kwenye mchezo wa fainali...
NYOTA WA FOUNTAIN GATE ALAMBA MKATABA WA MIAKA 17
TIMU ya Fountain Gate FC imemtambulisha mchezaji chipukizi Juma Issa Abushiri (Chuga) kutoka timu ya taifa ya vijana ya Tanzania (U-17). Nyota huyo amesaini...
USAJILI WA KWANZA SIMBA HUU HAPA, MSHAMBULIAJI WA MABAO KUTAMBULISHWA
MSIMBAZI kumeanza kumechangamka kupitia usajili baada ya dirisha la usajili kufunguliwa huku wakiwa hajatangaza mchezaji hata mmoja mpya ambaye ameshasaini kandarasi Simba SC.
Mabosi wa...
RASMI: SIMBA SC IMEFIKIA MAKUBALIANO NA FEISAL
Feisal Amekubali Kusaini mkataba wa awali wa miaka miwili na Simba SC lakini amebakiza mwaka mmoja kwenye mkataba wake na Azam FC.
Makubaliano ni kati...