KITAIFA

MAMBO YAANZA KUMWENDEA KOMBO ISRAEL MWENDA

Taarifa za uhakika zinaeleza kuwa mlinzi wa zamani wa Simba SC, Israel Patrick Mwenda anajiandaa kuiburuza timu yake mpya Singida Black Stars kwenye Shirikisho la Soka Duniani FIFA.

Inaelezwa tatizo kubwa ni kwamba timu hiyo haijamlipa Mwenda staiki zake za usajili kama walivyokubaliana kwenye mkataba.

Nyota huyo kwa sasa bado yupo nyumbani hajajiingia kambini kwenye timu licha ya Ligi ya NBC Premier League kuanza kutimua vumbi Kwa taktribani mizunguko miwili.

Related Articles

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Back to top button