KITAIFA

RASMI PRINCE DUBE ATAMBULISHWA YANGA

Mshambuliaji Prince Mpumelelo Dube baada ya kipindi kirefu na kumalizana na mabosi zake wa zamani Azam Fc sasa ni rasmi ametambulishwa kuwa mchezaji mpya wa Yanga SC kwa mkataba wa miaka miwili.

Ikimbukwe Yanga walitangaza kushusha mashine nyingine katika usiku wa saa sita ikiwa imepinduka siku, na hii ni sajili nyingine kubwa baada ya kuinasa saini ya Clatous Chama akitokea Simba.

Kwa huu usajili kwani nyie hamuogopi😃🤷?

Related Articles

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Back to top button